• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Tutalinda Wawekezaji wanaowekeza Pwani:RC Ndikilo

Posted on: December 18th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo amesema hatovumilia juhudi zozote zinazo hujumu agenda ya Ujenzi wa Viwanda Mkoani humo, ameyasema hayo Desemba 17,2020 wakati alipotembelea Plot Na. 57 inayomilikiwa na Kampuni ya Saibaba na Plot Na. 55 yenye Ujenzi wa Kiwanda cha vifaa vya Plastiki cha Kampuni ya Weixing plastic Cement Ltd vilivyopo picha ya Ndege Kibaha.

Akijibu Kero ya Kampuni ya Weixing ya kutakiwa kubomoa ukuta na kulipa Usd 25,000 kwa Kampuni ya Saibaba anayepakana naye Ndikilo amesema jambo hilo halikubaliki. Ameeleza pingamizi hizo zinakwamisha ujenzi wa Kiwanda hiki cha Kampuni ya Weixing na ni kukwamisha pia juhudi za Serikali za kuvutia uwekezaji katika ujenzi wa viwanda,

"Kinachofanywa na Saibaba ni kukwamisha juhudu za Serikali za ujenzi wa viwanda kwa kuleta pingamizi na visa kitu ambacho kama Mkuu wa Mkoa sitakikubali"

"Hatuwezi kukubaliana na mambo ambayo yanahujumu ujenzi wa viwanda" alisisitiza Ndikilo

" Saibaba anamiaka 5 sasa hajaendeleza eneo hili, Kampuni Weixing ndani ya miezi saba tangu apate ardhi kaanza Ujenzi na kaleta Ajira100, na ifikapo Januari wataanza kuzalisha na kutoa ajira 300, lazima tutengeneze mazingira mazuri kwa kampuni hii ili tupate kodi, na ajira" alisema Ndikilo

"Mwekezaji huyu Weixing ameniongezea kiwanda kwenye orodha ya viwanda vyetu ndani ya Mkoa" alisema Ndikilo.

Pingamizi hizi za Saibaba zimekuja baada ya kukosa biashara ya kumuuzia kiwanja Kampuni ya Weixing.

Ndikilo amewataka Wawekezaji hao kupendana na kulinda uwekezaji wao, "muache uhasama kwa kuwa kila mmoja anamuhitaji mwingine, mkikaa kama maadui hamsalimiani ni mbaya, mtashirikiana kwenye mambo mengi Moto, wizi nk.

Hizi kelele na pingamizi zikome mara moja, zikiendelea zitakwamisha uwekezaji huu" alisema Ndikilo.

Ameitaka Kampuni ya Saibaba kufika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa kuwasilisha changamoto na Ofisi yake itamsikiliza na kumuunguniaha na taasisi zinazohusika.

Amezitaka kampuni hizo mbili pale ambapo wanachangamoto wakae mezani na kumaliza tofauti zao

"Wawekezaji ni watu wa muhimu katika Mkoa wetu tunakaa nao mezani tunawasikiliza na kutatua changamoto zao milango yetu ipo wazi masaa yote kwa ajili yenu" alisema Ndikilo

Ameitaka Kampuni ya Weixing kuwalipa wafanyakazi wake vizuri na kupanga namna ya kuchangia jamii inayoizunguka kupitia .

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 - MKOA WA PWANI December 18, 2020
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA PWANI MH. MHANDISI EVARIST NDIKILO YA KUSIKILIZA NA KUTATU KERO ZA WANANCHI. August 10, 2020
  • TAARIFA KWA UMMA - AWAMU YA KWANZA YA VIWANDA VILIVYOWEKEWA MAWE YA MSINGI NA MHESHIMIWA ENG. EVARIST NDIKILO, MKUU WA MKOA WA PWANI August 30, 2019
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Ndikilo ameridhishwa na Kasi ya Shirika la Umeme Tanesco Mkoa Pwani

    February 18, 2021
  • Wawekezaji Kufanya Tathmini ya Athari kwa Mazingira ni Muhuimu-Rc Ndikilo

    February 17, 2021
  • Kivuko cha MV Kilindoni -Hapa kazi tu Chakamilika na kukjabidhiwa Wilayani Mafia tayari kwa Matumizi.

    February 02, 2021
  • RC Ndikilo alitaka Jeshi la Polisi Mkoa Pwani Kutoa ulinzi Kwa wananchi wote w bila kujali uwezo wa Mtu.

    February 01, 2021
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.