Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge anawakaribisha wajumbe wa Baraza la Biashara Mkoa na waalikwa kutoka Sekta ya umma na Binafsi kushiriki katika mkutano wa Baraza utakaofanyika tarehe 27,Februari, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Kibaha.
Karibuni tushiriki majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi ili kuboresha mazingira ya Uwekezaji na Biashara.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.