• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Hakikisheni Mnatoa Huduma bora kwa Wananchi:RC Ndikilo

Posted on: February 18th, 2019

Mkuu wa wa mkoa wa Pwani , Mhandisi Evarist Ndikilo ameweka jiwe la Msingi katika katka kituo cha afya Ikwiriri Rufiji ambacho kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles kabeho alikataa kuweka jiwe hilo Julai  2018, kutokana na mkanganyiko wa taarifa baina ya Wilaya na Mkoa.

Akizungumza baada ya kuweka jiwe hilo la msingi, Ndikilo alisema walichukua hatua ya kufanya uchunguzi kupitia vyombo vya dola na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) na kubaini hakuna wizi uliofanyika  kwenye ujenzi huo.

“Kama kuna miundombinu kwa baadhi ya majengo haijakamilika iangaliwe namna ya kuikamilisha , katika vituo vyote vilivyojengwa mkoni hapa”. Alisema Ndikilo.

Pia alieleza kuwa Mkoa ulipokea bilioni 8.2 kwa ujenzi wa vituo vya  18 na ukarabati wa hospitali ya wilaya na bilioni 4.5 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali tatu za wilaya.

Aidha Mhandisi Ndikilo aliwataka watumishi wa afya kutoa huduma bora za Afya kwa wananchi wanaofuta huduma hiyo na kuacha lugha chafu.

Naye Mbunge wa jimbo la Rufiji Mohammed Mchengelwa aliishukuru Serikali ,kwa kuimarisha sekta hiyo na kwa kutoa zaid ya  sh. Million 320  kuboresha sekta hiyo Wilayani Rufiji.

Awali , Mkuu wa Wilaya ya Rufiji  Juma Mjwayo alibainisha , kuwa kama Wilaya wamejiridhisha , kuwa kama Wilaya wamejiridhisha  hivyo alimuomba Mkuu wa mkoa kufanya zoezi hilo. Pia alimpongeza kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2018 Charles Kabeho kwa ufuatiliaji wake makini wa  thamani na ubora wa miradi wakati wa mbio za Mwenge hali iliyosababisha kila Halmashauri kuwa makini katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200