• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Halmashauri ya Rufiji yapongwezwa kwa ukusanyaji wa mapato

Posted on: August 26th, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema ameipongeza Halmashauri ya Mji  Rufiji kwa ukusanyaji wa mapato ya zaidi ya asilimia 100 na kusisitiza kwa mwaka huu wa fedha kuendelea kukusanya zaidi ili kuwezesha utejelezaji wa miradi ya maendelea yenye tija kwa wananchi.

Mnyema ametoa pongezi hizo Leo Agosti 26, 2025 Wilayani Rufiji alipokuwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani zikilenga ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na watumishi.

"Niwaombe kwa mwaka huu wa fedha tuendelee kukusanya zaidi ili kuendelea kuwahudumia wananchi, kwani makusanyo yatawezesha ukusanyaji wa fedha zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo itayoleta tija zaidi kwa wananchi tunaowahudumia kwani ndio kipaumbele chetu" Alisema Mnyema.

Aidha aliwapongeza kwa ubunifu wa miradi uliwezesha kupata vyanzo vipya vya mapato na kusisitiza kuendelea kuvitunza vyanzo vya zamani.

"Jukumu la ukusanyaji wa mapato ni letu sote, tulifanye kwa weledi ili liweze kuobgeza tija  pamoja na utumiaji mzuri wa fedha, usimamizi mzuri wa miradi ya maeneleo kwa uaminifu mkubwa," aliongeza Mnyema.

Pia aliwasisitiza watumishi kufuata misingi ya utumishi wa umma kwa kufanya kazi kwa unyenyekevu, uadilifu, upendo na kufuata sheria ili kutimiza malengo ya serikali.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77