• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Jamii Yatakiwa Kuwathamini na Kuwawezesha watu Wenye Ulemavu katika Maerndeleo

Posted on: November 21st, 2025

Jamii imetakiwa kuwathamini na kuwajumuisha watu wenye ulemavu kikamilifu katika nafasi mbalimbali za kijamii na kimaendeleo, ili kuwezesha kutumia uwezo wao na kujikwamua kiuchumi.

Wito huo umetolewa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Albert Machua, katika kikao cha utambulisho wa mradi Uwezo Wangu unaosimamiwa na Taasisi ya Peace Life for Persons with Disability Foundation (PLPDF). Kikao hicho kimefanyika, katika ukumbi mdogo wa mikutano, ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha.

Machua amesema kuwa ni muhimu jamii kubadili mtazamo na kuondoa vikwazo vinavyosababisha watu wenye ulemavu kukosa fursa. Ameeleza kuwa jamii inapaswa kuwawezesha kupitia elimu, ajira na ujasiriamali ili kujenga maisha endelevu na yenye tija.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa PLPDF, Sophia Mbeyela, amesema kuwa lengo la kuanzishwa kwa mradi huo ni kuwawezesha wasichana na wanawake wenye ulemavu kwa kuwapatia elimu ya maisha, ujasiriamali, pamoja na utoaji wa elimu kuhusu Mkataba wa Watu Wenye Ulemavu (CRPD), maarufu kama ADB. Amebainisha kuwa wanatarajia kuwafikia zaidi ya watu 100 wenye ulemavu katika hatua za awali, ambao baadaye watakuwa mabalozi wa kuhamasisha wengine katika jamii.

Mradi Uwezo Wangu unalenga kutatua changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu, hasa wanawake, wasichana, watoto na vijana balehe. Unalenga kuwajengea uwezo, kuibua vipaji vyao na kuongeza kujiamini ili waweze kutumia fursa zilizopo katika mazingira yao bila kuathiriwa na hali zao. Mradi pia unawalenga katika kuwawezesha kielimu, kiuchumi na kiafya.

Aidha, mradi huu unatoa elimu kwa jamii kuhusu kutambua haki na wajibu wa watu wenye ulemavu, kwa lengo la kuimarisha mazingira jumuishi na wezeshi yatakayowawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.

Kwa Mkoa wa Pwani, mradi Uwezo Wangu unatekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo na Manispaa ya Kibaha.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777