• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Jengeni ushirikiano na Vyombo vya Ulinzi na usalama ili kuweza kukabiliana na Janga la Madawa ya Kulevya

Posted on: July 24th, 2018


Wananchi mkoani Pwani wametakiwa kufichua watu wanaojihusisha katika matumizi ya madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na wasambazaji na wauzaji ili kupunguza tatizo la kuweka rehani baadhi ya vijana ambao ndio nguvu kazi .


Akizungumza Chalinze,Bagamoyo mkoani Pwani ,wakati wa  mbio za Mwenge wa Uhuru ,kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ,Charles Kabeho alisema ,matumizi ya madawa hayo ni janga kubwa ndani ya jamii.


“Nawaomba wananchi msiogope kuwafichua wahusika hata kama ni ndugu yako ,jirani, kwani wanaojiingiza katika wimbi hilo wapo miongoni mwetu”
“Jengeni ushirikiano na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwemo jeshi la polisi ,ili hali kukabiliana na tatizo hili” alisisitiza Kabeho.


Aidha aliwaasa Vijana  walioathirika na madawa hayo kuwa wajitambue kwa kuacha ,wasikate tamaa,kwani wanaweza kufanya biashara ndogondogo kwa lengo la kujipatia kipato.


Awali mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ,Alhaj Majid Mwanga akipokea mwenge wa uhuru kutokea Kibaha Mjini alisema, mwenge huo utapitia miradi 15 iliyogharimu sh.bilioni 121.459.3.
Pamoja na hayo ,Alhaj Mwanga alieleza Chalinze pia ni halmashauri inayoongoza kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa zaidi ya asilimia 100.


Mkoa wa Pwani ulipokea mwenge wa Uhuru 12 July mwaka huu kutokea Dar es salaam ,ambapo ulipitia miradi ya maendeleo 67 yenye thamani ya sh.bilioni 162.440.8, kupitia wilaya saba na halmashauri tisa.


Kati ya miradi hiyo miradi 16 iliwekwa mawe ya msingi ,miradi 12 kati ya 13 iliyolengwa kuzinduliwa ilizinduliwa ,nane ilifunguliwa na miradi 21 imekaguliwa.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200