• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Kanal Kolombo azindua mnada wa ufuta, atoa onyo kali dhidi ya utoroshaji wa mazao

Posted on: June 12th, 2025

 Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Mhe. KanaliJoseph Kolombo, leo amezindua rasmi mnada wa kwanza wa zao la ufuta kwa msimuwa mwaka 2025, uliofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, mkoaniPwani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Juni 12Wilayani Kibiti, Kanali Kolombo amewatakawakulima kuzingatia taratibu na kanuni za kiserikali katika uuzaji wa mazaoyao, huku akisisitiza umuhimu wa kupeleka mazao kwenye maghala rasmi kama hatuaya kulinda maslahi ya mkulima na Halmashauri.

“Katika kipindi hiki chamavuno, baadhi ya watu wamekuwa wakihangaika kuuza mazao bila kufuatautaratibu. Utoroshaji wa mazao siyo tu ni kinyume cha sheria, bali piaunalinyima eneo husika mapato halali na kudhoofisha takwimu za maendeleo zaWilaya na Mkoa,” amesema Kanali Kolombo.

Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya amezielekeza taasisi za fedhakuhakikisha zinatoa huduma kwa weledi ili kuwawezesha wakulima kufungua nakutumia akaunti kwa urahisi, jambo litakalosaidia kuimarisha mzunguko wa fedhavijijini. Pia amewataka wanunuzi wa mazao kuhakikisha wanalipa fedha zawakulima kwa wakati ili kuwawezesha kufidia gharama za uzalishaji.

Katika mnada huo wa kwanza, bei ya kilo moja ya ufuta ilifikiaShilingi 2,414.49. Mnada mwingine unatarajiwa kufanyika tarehe 19 Juni, 2025katika eneo la Kingoma AMCOS, Wilaya ya Mkuranga.

Mnada huu unatajwa kuwa hatua muhimu katika kuinua uchumi wawakulima wa Mkoa wa Pwani kupitia uuzaji wa mazao kwa mfumo rasmi unaolindahaki na mapato ya pande zote.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200