• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Kunenge akutana na wanachi wa Bagamoyo kutatua Migogoro

Posted on: January 24th, 2024

MKuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge,amekutana na wananchi wa  Wilayani Bagamoyo kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi hususani migogoro ya ardhi.

Kunenge,amefika Wilayani Bagamoyo  Januri 24 ikiwa ni sehemu ya kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa (MB)aliyoitoa mwishoni mwa wiki iliyopita Wilayani Bagamoyo.

Mchengerwa,alitoa maagizo hayo katika ziara ya Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Paul Makonda ambaye alipita Wilayani humo na kupokea changamoto mbalimbali ikiwemo masuala ya Ardhi.

Akiwa Wilayani Bagamoyo Kunenge amekutana na wananchi mbalimbali ambapo mbali na kutatua kero hizo amezungumza na Wananchi hao huku akisema Serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni sikivu.

Kunenge,amesema Serikali lazima ihakikishe kila mwenye haki anapata haki yake bila kuonea mtu na kikubwa ni ukweli kwakuwa ukweli unamuweka mtu huru.

"Nimekuja hapa kusikiliza kero na changamoto zenu lakini lazima tujue yapo ambayo yatapata majibu hapa hapa na mengine kutoka nayo kwenda kuyafanyiakazi na ambayo yatakuwa juu ya uwezo wetu tutayapeleka juu,"amesema Kunenge

Awali  akimkalibisha Mkuu wa Mkoa , mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Halima Okash alisema kuwa  tayari walishaanza kushughulikia migogoro ya hiyo kwa kuanzisha clinic ya ardhi kama walivyoelekezwa na kata zote 20 za Wilaya ya bagamoyo zilitembelea  na waliweza kutataua migogoro kwa asilimia 80 na mingine iliyosalia bado ipo katika hatua mbalimbali za kimahakama.

Kwa upande wa wananchi wamemshukuru Mkuu wa mkoa kwa ujio wake na wamemuomba aendelee kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinzowakabili wananchi ili kuboresha maisha yao.

Katika ziara hiyo Kunenge ameambatana na wataalamu kutoka ofisini kwake ikiwemo kitengo cha idara ya ardhi na Sheria pamoja kamati ya ulinzi na usalama ya Wilayani Bagamoyo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200