• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Kuweni Waadilifu katika utendaji wenu wa Kazi :RCNdikilo

Posted on: January 9th, 2019

Wakala wa barabara Mkoa wa Pwani unatarajia kutumia kiasi cha  shilingi billion 25.4 kwa ajili ya kufanya matengenezo mbalimbali ya barabara.

Hayo yalisemwa Mjini Kibaha na Mhandisi Zuhura Aman wakati wa kikao cha bodi ya barabara Mkoani  Pwani na kusema kuwa fedha hizo ni bajeti ya  mwaka 2018/2019.

Pia  alisema kuwa hadi kufikia Septemba 2018  shilingi   milioni  958.7 zimepokelewa   ajili ya matengenezo mbalimbali.

“Mkoa umepanga kutekeleza  miradi ya maendeleo ya barabara zenye urefu wa kilometa 32.5 zenye thamani ya shilingi bilioni  2.3”alisema Mhandisi Aman.

Aidha alisema kuwa ili kutekeleza miradi ya barabara;  shilingi  bilioni 1.3 zimetengwa katika   bajeti ya Wakala wa Barabara, shilingi milioni 969  kutoka mfuko wa Barabara na  shilingi  bilioni  7.5 ni kutoka Serikali Kuu. Fedha hizo   zitatumika kufanya ukarabati wa barabara kwa kiwango cha changarawe/udongo.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist  Ndikilo alisema kuwa  ili kuweza kuboresha  Barabara za Mkoa huo watendaji wanapaswa kuwa waadilifu katika utendaji wao wa Kazi.

Ndikilo alisema kuwa kutokana na Mkoa kuwa na Viwanda vingi uboreshaji wa miundo mbinu ya barabara ni muhimu sana na utasaidia kuinua uchumi wa wananchi Pwani na taifa kwa ujumla

.”Muwe  makini na baadhi ya watu wanaoharibu  na kuhujumu miundombinu ya barabara zetu ikiwemo baadhi  ya watu  wanaozidisha uzito  na kuiba alama za barabarani”alisema Ndikilo.

 Katika Hatua nyingine Mhandisi Ndikilo amempongeza  Mhe Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli  kwa uamuzi wa ujenzi wa barabara nane,  utakaoanzia  Kimara hadi   Tamco -  Kibaha.  Aidha amempongeza kwa kutenga  shilingi bilioni  65 kwa ajili ya upanuzi wa daraja la Mto Wami.

“Pamoja na pongezi hizo pia tutapeleka ombi  moja tu kupita TANRODS kuwa njia hizo nane zisiishie TAMCO bali zifike hadi kwa Matiath kwani ndipo kitovu chetu cha mji kilipoanzia”alisema  Mhandisi Ndikilo.

Naye Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani  Mhandisi Yudas Msangi alisema kuwa changamoto zote ambazo zimetolewa na wajumbe wa bodi ya barabara zitafanyiwa kazi  kulingana  uwezo wa kibajeti.

Mhandisi Msangi alisema kuwa malengo  yao ni kuhakikisha barabara zinajengwa kwa kiwango kinachostahili ili ziweze kupitika kwa wakati wote.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77