• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

Posted on: January 16th, 2026

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma, ikiwemo mapato na fedha za Serikali, pamoja na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuzingatia thamani ya fedha ili kuongeza tija kwa wananchi.

Akizungumza Januari 16, 2026, wakati wa kuhitimisha mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo madiwani hao, Twamala amesema mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha madiwani kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwajibikaji zaidi, sambamba na kuleta matokeo chanya yanayoonekana moja kwa moja kwa wananchi.

Amesema Serikali inatarajia kuona mabadiliko ya kweli yanayotokana na maarifa na ujuzi walioupata madiwani kupitia mafunzo hayo, hususan katika kusimamia miradi ya maendeleo na utoaji wa huduma za kijamii.

Twamala amesisitiza kuwa madiwani wanapaswa kuzingatia misingi ya utawala bora, kuheshimu sheria, kanuni na taratibu, pamoja na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa vipaumbele vya Serikali kwa lengo la kuboresha huduma za jamii na kuchochea ukuaji wa uchumi katika sekta mbalimbali.

Aidha, amewataka madiwani hao kutafsiri kwa vitendo dhamana waliyopewa na wananchi kwa kusimamia maendeleo kwa uadilifu, uwazi na kuzingatia maslahi mapana ya wananchi wanaowawakilisha.

Katika hatua nyingine, Twamala amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya madiwani, wataalamu na wananchi, huku akiwataka viongozi hao kuepuka migogoro isiyo ya lazima inayoweza kukwamisha maendeleo. Ameongeza kuwa madiwani wanapaswa kuzingatia utu, utulivu na kujitawala kihisia, pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa busara.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Mafunzo hayo, Mhe. Hasani Mwinyikondo, Diwani wa Kata ya Msoga, amesema mafunzo hayo yamewajengea uwezo mkubwa madiwani katika maeneo mbalimbali ya utekelezaji wa majukumu yao, hususan usimamizi wa miradi ya maendeleo, fedha za umma na masuala ya utawala bora.

Mhe. Mwinyikondo amesema mada zilizotolewa ni pamoja na uongozi na utawala bora, sheria na taratibu za Serikali za Mitaa, uendeshaji wa vikao, uandaaji wa mipango na bajeti, usimamizi na udhibiti wa fedha, usimamizi wa rasilimali watu, haki na stahiki za viongozi pamoja na maadili ya uongozi.

Amesema mafunzo hayo yanatarajiwa kuwa chachu ya kuimarisha utendaji wa madiwani na kuongeza ufanisi katika kusimamia maendeleo na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777