• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Mkoa wa Pwani waanza maandaliuzi ya Maadhimishio siku ya Wanawake Dunia

Posted on: January 28th, 2025

Mkoa wa Pwani umeanza maandalizi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, ambayo kilele chake hufanyika Machi 8 kila mwaka. Kikao cha kwanza cha maandalizi kimefanyika leo katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kikiongozwa na Afisa Maendeleo ya Jamii wa Mkoa, Grace Tete. Kikao hicho kilihudhuriwa na washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali na mashirika binafsi ya mkoa huo.

Katika kikao hicho, washiriki walijadili namna ya kuratibu shughuli mbalimbali zitakazofanyika kabla ya kilele cha maadhimisho hayo, ambapo kila halmashauri ilipewa jukumu lake.

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka ofisi ya Mkoa wa Pwani, Roselyn Kimaro, alieleza kuwa kila halmashauri imepanga kuadhimisha kwa njia ya kipekee. Halmashauri ya Chalinze itaandaa kongamano litakalojikita katika ujumbe wa kauli mbiu ya mwaka huu. Kibaha Mji, kwa upande wake, wataandaa maonyesho ya vikundi vya wanawake wajasiriamali.

Halmashauri ya Kisarawe itashiriki katika shughuli za kijamii kwa kushirikiana na jamii kwenye miradi mbalimbali kwa kutumia nguvu kazi, vifaa, na rasilimali nyingine. Kibiti wataandaa mashindano ya kitaaluma na michezo ya kuelimisha wanawake na wasichana, pamoja na kutoa misaada ya kijamii.

Aidha, Kibaha DC na Bagamoyo wataendesha kliniki za msaada wa kisheria kwa wanawake. Mafia watakuwa na usiku maalum wa wanawake pamoja na shughuli za kusaidia jamii, huku Rufiji wakiratibu mahojiano kupitia vyombo vya habari ili kuelimisha umma kuhusu nafasi ya mwanamke na umiliki wa rasilimali.

Roselyn Kimaro aliongeza kuwa Halmashauri ya Mkuranga imepewa jukumu la kuratibu kilele cha maadhimisho hayo katika ngazi zote, kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua na kuthamini mchango wa wanawake na wasichana katika maendeleo ya taifa.

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huanza rasmi Machi 1 na hufikia kilele chake Machi 8. Mwaka huu, maadhimisho ya kitaifa  yatafanyika mkoani Arusha yakiwa na kauli mbiu ‘Wanawake na Wasichana2025:Tuimarishe Haki,Usawa na Uwezeshaji’.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77