• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Mkoa wa Pwani waanza maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya mtoto wa Afrika .

Posted on: May 30th, 2025

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani imeanza maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kufanya kikao maalum cha maandalizi kilichofanyika leo katika ukumbi wa rasilimali (Resource Center) uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Kibaha Pwani.

Mgeni rasmi katika kikao hicho alikuwa Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu, Edina   Katalaiya.

Wajumbe wa kikao hicho walikubaliana kuwa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwa ngazi ya mkoa mwaka huu kitafanyika katika Halmashauri ya Mji Kibaha.

Akizungumza katika kikao hicho, Afisa Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Pwani, Bi. Roseline Kimaro, alisema kuwa maadhimisho hayo yatatanguliwa na mikutano mbalimbali itakayofanyika kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu, kwa lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu haki za watoto na umuhimu wa kuwalinda kwa kushirikiana na wadau, Viongozi wa dini pamoja na Waandishi wa Habari.

Kikao hicho kilihudhuriwa na wawakilishi kutoka taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), wadau mbalimbali wa maendeleo kutoka mkoa wa Pwani, Dawati la Jinsia la Police Mkoa, pamoja na baadhi ya watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Lengo kuu la kikao hicho lilikuwa kuweka mpango mkakati wa pamoja kuhakikisha maadhimisho hayo yanafanyika kwa mafanikio makubwa.

Siku ya Mtoto wa Afrika (African Child Day) huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni tangu mwaka 1991, ikiwa ni kumbukumbu ya mchango wa watoto wa mji wa Soweto, Afrika Kusini, waliopaza sauti wakidai elimu bora mnamo mwaka 1976. Katika maandamano hayo ya kihistoria, mamia ya watoto walipigwa risasi na kuuawa, huku zaidi ya watoto 1,000 wakijeruhiwa.

Maadhimisho haya yanalenga kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa elimu bora kwa watoto, utekelezaji wa haki zao za msingi, na kuenzi ujasiri wa watoto wa Soweto waliopigania haki zao katika mazingira magumu.



Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777