• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Mzee mkongela Ali awaagiza TAKUKURU kuchunguza Mradi wa Maji wa DAWASA Ikwiriri

Posted on: July 26th, 2019

Kiongozi  wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2019 ,Mzee Mkongea Ali amemuagiza kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Rufiji kuchunguza ubadhilifu wa fedha uliotokea katika mradi wa maji Ikwiriri uliojengwa na mamlaka ya maji safi Dar es salaam DAWASA kwa gharama ya sh.bilioni 2.055.648.243.

Ametoa agizo hilo wakati mwenge wa uhuru ulipotembelea mradi huo na kubaini baadhi ya dosari na kukosa nyaraka muhimu zilizotumika katika manunuzi ya baadhi ya vifaa.

Amemtaka kamanda wa TAKUKURU ndani ya wiki mbili kukamilisha agizo hilo kisha kupeleka taarifa TAKUKURU makao makuu na nakala itumwe kwake ili kama kutabainika uchakachuaji hatua ziweze kuchukuliwa.

Nae mkuu wa wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo amemwakikishia kiongozi huyo wa mbio za mwenge kuwa atalisimamia suala hilo kwakuwa kabla ya mwenge kuanza ziara hiyo viongozi wa wilaya hiyo walishiriki kikao cha kamati ya sherehe ambacho kiliitishwa na mkuu wa mkoa na kuagiza kwamba wataalamu kutoka Dawasa kuwepo katika miradi yote ya maji itakayopitiwa na mwenge lakini cha ajabu katika mradi huo hawajafika katika wilaya hiyo.

Njwayo alisema, mwenge wa uhuru ukiwa wilayani Rufiji umepitia Tisa yenye thamani ya sh.bilioni 2.562 .

Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maji shule ya msingi Umwe,mradi wa maji Ikwiriri,kikundi cha vijana Mkongoni cha uselemala,ukarabati wa kituo cha afya Ikwiriri,ukarabati wa chuo cha maendeleo ya wananchi Ikwiriri ,mradi wa nyumba za kulala wageni Mloka safari lodge na kikundi cha walemavu Mloka.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200