• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Nataka kuona Hati safi kwa Mwaka ujao-Ndikilo

Posted on: August 3rd, 2018

Halmashauri zote Mkoani Pwani zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinajibu hoja zote kwa wakati na kuhakikisha kuwa zinafungwa kwa wakati

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikillo, wakati wa kikao maalum cha baraza la  madiwani  cha kujadili hoja za mkaguzi  wa Hesabu za Serikali CAG Wilayani Rufiji.

Mhandisi Ndikilo alisema kuwa maelekezo ya Serikali ni pamoja   na kuzitaka halmasahuri zote kuzijibu hoja kwa wakati na kuhakikisha kuwa hoja hizo zinafungwa.

Aidha amezipongeza halmasahuri zote za Mkoa Pwani kwa namna walivyofanya kazi ya kusimamia matumizi mazuri ya  fedha  za Serikali kitu kilichoziwezesha kupata hati safi.

Alisema kuwa  kupata hati safi sio kazi ndogo kwani inahitaji   kufanyakazi  vizuri  pamoja na  kuheshimu fedha za serikali, amewataka wasibweteke bali waendelee kufanyakazi kwa  weledi na kuzingatia taratibu   kwani kwa mwaka anataka kuona hati safi tena.

Pia amezitaka Halmashauri hizo kuainisha vyanzo vyote  halisi vya mapato na kusisitiza kuwa visimamiwe ili viweze kukusanya mapato  vizuri

Mhandisi Ndikilo alisisitiza kuwa hatokuwa tayari kumfumbia macho mtendaji yeyote Yule ambaye atafanya uzembe  na kuisababishia Hasara Halmashauri.

Pia aliwataka  wakurugenzi waiimarishe kitengo cha ukaguzi katika Halmashauri zao na kuwataka wakaguzi wote wa ndani kuwa makini  katika  kufanyakazi za kuzisimamia Halmashauri kutumia vyema fedha za serikali na amewataka kufanyakazi kwa weledi pasipo kumuogopa mtu.

Katika hatua nyingine Mhandisi Ndikilo ameipongeza Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoa Pwani kwa namna walivyofanya ukaguzi  kwa kufuata sheria na taratibu za ukaguzi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200