• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Ndikillo aitaka TBS kutoa elimu kwa wenye viwanda ili kuondoa tatizo la uzalishaji wa bidhaa zisizo na ubora

Posted on: June 22nd, 2018

Wamiliki wa Viwanda Mkoani Pwani waaswa kuzalisha bidhaa kwa kutumia  vipimo vinavyostahiki ili  kuzalisha bidhaa bora  zenye viwango na kuleta ushindani kwenye masoko ya ndani na nje ya Tanzania.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Mhandisi Evarist Ndikilo  wakati akifungua semina iliyoambatana na maadhimisho ya siku ya vipimo Duniani .

Mhandisi Ndikilo amesema kuwa, Serikali kupitia taasisi zenye dhamana ya kushughulika na vipimo wamejipanga kuhakikisha kila  mfanyabiashara anayezalisha bidhaa yake nchini  atumie vipimo sahihi kwa ajili ya kupata ubora kwa matumizi ya wananchi.

“Vipimo ni kiungo muhimu sana  kwa maendeleo ya viwanda ,biashara,Afya,ujenzi , Elimu na taasisi za kiutafiti wa kisayansi” alisema Ndikilo.

Aidha, Mhandisi Ndikilo amesema kwamba kutokana na utitiri wa viwanda uliopo Mkoani hapa ,amelitaka shirika la Viwango liendelee kutoa elimu kwa wenye viwanda ili kuondoa tatizo la kuzalisha bidhaa zisizo na ubora .

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Upimaji wa Ugezi (Meterology) kutoka shirika la Viwango Tanzania (TBS) Mary Meela amesema ,wenye Viwanda Mkoani Pwani bado havijachangamkia masuala ya ugezi ndio sababu shirika kupitia maabara ya ugezi imeamua kufunga safari kufanya maadhimisho Mkoani Hapa.

Maadhimisho ya Siku ya Vipimo duniani mwaka huu yameadhimishwa June 22  ambapo  yameambatana na kauli mbiu isemayo “Muendelezo wa mabadiliko ya vizio vya Kimataifa”.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77