• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Ndikilo awatuma Medali wawakilishi wa Pwani katika UMISETA

Posted on: May 29th, 2018

MKuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Evarist Ndikilo amewataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Mkoa wa Pwani kuhakikisha kwamba wanaihudumia timu ya Mkoa wa  Pwani ambayo imeteuliwa kwenda kushiriki mashindano ya UMISETA Kitaifa Mkoani Mwanza.

Hayo ameyasema  mwanzoni mwa wiki hii wakati akifunga mashindano ya UMISETA Kimkoa ambayo yalifanyika katika viwanja vya Filbert Bayi ambapo wanafunzi 120 walichaguliwa kuunda  timu  ya Mkoa.

Mhandisi Ndikilo aliziagiza pia Halmashauri hizo kuwa na sare ambayo itaitambulisha Halmashauri husika ambapo amesema kwa mwaka ujao hataki kuona wanamichezo wakiwa hawako katika sare.

“Ni lazima kila Halamashauri ziwe na trakisuti nzuri kwa ajili ya wanamichezo na si kama walivyo sasa ambapo kila mmoja amejivalia tu” alisema Ndikillo

Aidha, ameagiza pia kila shule lazima iwe na kiwanja cha michezo na kutaka vipindi vya michezo mashuleni virudishwe. Mhe. Ndikilo amesema kuwa kila shule ikiwa na kiwanja cha michezo itawasaidia vijana kupata fursa ya kufanya michezo kwani michezo ni ajira.

Katika hatua nyingine Mhe. Ndikilo amewataka Wanamichezo hao kwenda  kuuwakilisha Mkoa wa Pwani vizuri katika michezo hiyo  na kuweza kurudi na ushindi pamoja  medali nyingi.

“Napenda kuchukua fursa hii sasa kuwapongeza wote mlioteuliwa kuwakilisha Mkoa wetu, tunawataka sasa mkawe Mabalozi wazuri wa Mkoa wa Pwani, Mkapeperushe bendera ya Pwani muende mkapambane ili muweze kuleta medali, Mkoa wa Pwani umewatuma na mkajitume ili mlete Medali “alisema Ndikilo.

Aidha Mhandisi Ndikilo pia aliwataka wachezaji hao wawe na mshikamano na wawe na nidhamu ya hali ya juu ambayo itawasaidia katika kupata ushindi.

Timu hiyo ya Mkoa itashirikisha michezo ya Mpira wa Miguu wavulana na wasichana, Mpira wa wavu Wavulana na wasichana, Mpira wa Mikono wavulana na wasichana, Mpira wa Pete wasichana, Mpira wa meza Wavulana, Riadha wavulana na wasichana na mchezo wa sanaa ngoma, kwaya, Ngonjera na Mashairi.

Mashindano hayo ya UMISETA yalianza tarehe Mei 26, 2018 na kumalizika Mei 28,2018 ambapo yalishirikisha Halmashuri zote tisa za Mkoa wa Pwani.

 

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200