• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Pwani yafanikiwa kupunguza maambukizi ya UKIMWI

Posted on: December 1st, 2019

Maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoani Pwani yamepungua kutoka asilimia 5.9 na kufikia asilimia 5.5 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Katika hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo iliyowasilishwa na Katibu tawala Mkoa bi Theresia Mmbando inasema kuwa takwimu za utafiti wa viashiria vya virusi vya UKIMWI na UKIMWI nchini kwa mwaka 2016-2017 zinaonesha  kupungua  kwa  kiwango cha maambukizi kutoka asilimia 7 mwaka 2003 mpaka kufikia asilimia 4.7 mwaka 2017.

“Kiwango cha maambukizi na vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua katika Mkoa wa Pwani lakini Halmashauri ya Kibaha Mji, mkuranga na chalinze zinaonekana kuwa na maambukizi makubwa” alieleza Mhandisi Ndikilo.

Kwa upande wake makamu mwenyekiti wa watu wanaoishi na Virusi vya ukimwi Mjini Kibaha Antonia Mango alisema kuwa zipo  sababu zinazofanya maambukizi kuwa juu na akazitaja baadhi kuwa ni kuwepo mwingiliano na watu kutoka nje ya Mji huo, madereva wa magari makubwa kuwa na nyumba ndogo katika baadhi ya vituo, ngoma za usiku kama vile za vigodoro, mikesha ya usiku nyakati za sikukuu, ngono zembe na ulevi uliopindukia.

Mango aliongeza kuwa sababu zingine ni pamoja na maonesho ya picha za ngono kwenye vibanda vya makuti katika mitaa, kwenye mitandao na cd, ubakaji na ulawiti pia baadhi ya wazazi wanaozaa watoto wenye VVU kutowaambia hali za kiafya watoto wao.

Maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani kimkoa yalifanyika katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha nakauli mbiu ambayo ni  “Jamii ni Chachu ya Mabadiliko , Tuungane kupunguza maambukizi mapya ya VVU.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200