• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Pwani yakabidhi misaada kwa wananchi wa Hanang

Posted on: January 4th, 2024

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, wananchi na wadau Mkoani humo imetoa raslimali fedha na michango mbalimbali vyote vikiwa vimegharimu sh. milioni 107.2 kwa wakazi waliopata maafa ya mafuriko Hanang ,Disemba 3 Mwaka 2023.

Kati ya michango hiyo ni pamoja na fedha sh.milioni 55.5 na vifaa vyenye thamani ya milioni 51.734.5.

Akikabidhi misaada hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang Janeth Mayanja, Mkuu wa Wilaya ya Mafia Zephania Sumaye akiwa ameambatana na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Rashid Mchatta, alieleza , michango yote ni mchango kutoka kwa wadau, viongozi wa dini, watumishi na wananchi.

Alitaja vifaa vilivyotolewa ni vyakula ikiwemo ngano kilo , mafuta ya kupikia lita 290 ,mchele kilo 590, unga wa mahindi kilo 1,425, sabuni ,tambi na nazi”.

“Vingine ni vifaa vya nyumbani bakuli,sahani,vikombe viroba 11, sufuria box 10 sawa na sufuria 960, viatu ,viroba vya nguo sita, taulo za kike 448, magodoro 107 na blanket 95.

Zephania alieleza pia kuna vifaa vya ujenzi, nyaya za umeme rola 71 ,mabati 250 sanjali na vifaa vya usafiri pikipiki tano.

Akipokea hundi na vifaa hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Hanang Janeth Mayanja ,alimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani, wananchi na wadau wa Mkoa huo.

Alieleza , maafa ya mafuriko ya mvua yalitokea Disemba 3 mwaka uliopita na kusababisha maafa makubwa ikiwemo vifo , majeruhi, maporomoko,nyumba kusombwa na maji .

Alisema kwa niaba ya Serikali anashukuru kwa mchango huo mkubwa .

Janeth alibainisha kwamba ,katika kambi tatu za watu walipoteza nyumba zao Serikali inaendelea na taratibu za makazi mapya kwa ajili ya wananchi hao ambapo tayari maeneo yamepatikana na ujenzi unakaribia kuanza.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777