• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RAS Dkt Magere awaomba wadau mbalimbali kuisaidia Pwani katika Mapambano dhidi ya Covid-19

Posted on: May 12th, 2020

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt Delphine Magere amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 hasa katika  kituo cha matibabu Wagonjwa wa virusi Corona cha Lulanzi kilichopo Wilayani Kibaha.

Aliyasema hayo mjini Kibaha wakati akipokea vifaa mbalimbali kutoka timu ya kampeni ya Mikono Safi Tanzania Salama ambapo msanii Mrisho Mpoto alikabidhi vifaa hivyo ikiwemo vitakasa mikono lita 150 pamaoja na Dispensa  5 kwa ajili ya kutolea vitakasa mikono.

Dkt Magere alisema kuwa vita hiyo ni watu wote katika kupambana na ugonjwa huo kwani misaada kama hiyo inahitajika kwa wananchi wa mkoa huo pamoja na wagonjwa kwenye kituo hicho.

“Mahitaji ni makubwa kuanzia Barakoa, Vitakasa mikono, Sabuni na maji kwa kituo chetu cha kuhudumia Wagonjwa wa Covid -19 hivyo wadau mbalimbali wanapaswa wajitokeze,’’alisema Dkt Magere.

Aidha alisema kuwa wanaishukuru kampeni hiyo kwa kuusaidia Mkoa huu vifaa hivyo ambavyo vitasaidia mapambano hayo dhidi ya Ugonjwa huo ambao umesbabisha watu wengi kuishi kwa hofu.

“Pamoja na vifaa hivi tunapaswa kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa kuepuka misongamano, kutumia vitakasa mikono na kunawa kwa maji yanayotiririka na sabuni,” alisema Dkt Magere.

Naye Anyitike Mwakitalima ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maji na usafi wa mazingira Wizara ya Afya maendeleo ya jamii Jinsia Wazee na Watoto alisema kuwa timu hiyo inahamsisha na jamii juu ya tahadhari dhidi ya Corona.

Mwakitalima alisema kuwa wmaefanya kampeni kwenye mikoa ya Mbeya, Songwe, Dar es Salaam na Pwani kwa ajili ya elimu ya tahadhari juu ya Ugonjwa huo pia kutoa vifaa vikiwemo vya kutumia vitakasa mikono.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777