• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge aipongeza JKT Ruvu kwa Juhudi za Kiuchumi

Posted on: September 4th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi Cha Ruvu kwa juhudi za kuchangia maendeleo ya sekta ya uchumi.

Kunenge ametoa pongezi hizo Sept.04 aliposhiriki sherehe za kuhitimu mafunzo ya vijana Oparesheni miaka 60 ya Muungano kikosi Cha Ruvu, ambazo zilifanyika katika viwanja vya kambi hiyo wilayani Kibaha, mkoani Pwani.

Katika hotuba yake, Kunenge amesifu Jeshi hilo kwa mchango wake katika jamii kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.

Aidha, Kunenge aliomba Jeshi hilo kuendelea kuanzisha na kubuni miradi mipya, ikiwemo mradi wa bustani ya wanyamapori (Zoo) ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa watalii wa ndani na nje ya nchi.

Vilevile, ameutaka uongozi wa Jeshi hilo kushirikiana na serikali ya wilaya katika kuanzisha ranchi ndogo itaongeza uzalishaji na kipato kwa wananchi wa mkoa wa Pwani.

Katika hatua nyingine, Kunenge ameshauri Jeshi hilo kushirikiana na taasisi kama TARURA ili kuboresha miundombinu ya barabara, jambo ambalo litachangia kuongeza mapato ya mkoa.

Kwa upande wake, Kamanda wa Kikosi cha 832 cha JKT Ruvu, Kanali Peter Elias Mnyani, amemshukuru kwa ushirikiano uliotolewa na taasisi mbalimbali mkoani Pwani wakati wa hatua za awali za vijana hao kujiunga na jeshi.

“Nimepata ushirikiano mkubwa kutoka RITA na NIDA katika hatua za awali za kujiunga kwa vijana,” amesema Kamanda Mnyani.

Aidha, amesema mafunzo hayo yamewajengea vijana uwezo wa kujiamini, ukakamavu, uzalendo, kujituma, upendo, umoja, na mshikamano.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200