• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Rc Kunenge aitaka kamati ya hamasa na mawasiliwano dhidi ya magonjwa ya mlipuko (RCCE) kushughulikia changamoto ya ukatili na unyanyasaji kwa wanawake na watoto.

Posted on: February 21st, 2023

Mkuu wa mkoa wa Pwani mhe.  Abubakari Kunenge, ametoa rai kwa kamati ya hamasa na mawasiliano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ,wakati inajengewa uwezo katika majukumu yao iweke mpango kazi kushughulikia changamoto kubwa ya ukatili na unyanyasaji ikiwemo kwa wanawake na watoto Mkoani humo.

Akifungua kikao kazi cha kuwajengea uwezo kamati ya hamasa na mawasiliano dhidi ya magonjwa ya mlipuko (RCCE) ,Mkoa na wasilisho la muundo wa kamati hiyo Mkoa na Halmashauri sanjali na majukumu yao, Kunenge alieleza, Mkoa huo bado una shida ya suala la unyanyasaji na udhalilishaji kwa kundi hilo.

Pia, aliipongeza Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na shirika la afya Duniani (WHO) kwa jitihada kubwa wanazozifanya za kukabiliana na magonjwa hayo hatari katika jamii ikiwemo kudhibiti magonjwa ya mlipuko.

Alieleza,baada ya mafunzo hayo kamati hiyo wafuate mfumo wa kutoa ushirikishwaji wa jamii ili kuondoa tatizo la magonjwa ya mlipuko na unyanyasaji na udhalilishaji .

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200