• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge akiagiza chama Kikuu cha ushirika cha CORECU kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kukihujumu Chama.

Posted on: April 21st, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaji Abubakar Kunenge ameuagiza uongozi wa Chama kikuu Cha Ushirika Mkoani Pwani CORECU kuwachukulia hatua Kali za kisheria wale watakaobainika kuhujumu Chama hicho.

Sambamba na Hilo, ameupongeza uongozi wa mpito wa Chama hicho Kwa kusimamia zao la korosho ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka Tani 7 mwaka 2019/20 Hadi kufikia Tani 15 msimu wa mwaka 2021/22 na Daraja la kwanza la korosho kufikia Tani 72 ya Korosho zote.

Aliyaelekeza hayo, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama hicho uliofanyika mjini Kibaha April 21, 2022 katika ukumbi wa Shirika la Elimu Kibaha.

Kunenge alikitaka Chama hicho kiwe na utaratibu wa kuwajibishana endapo kiongozi ama Mwanachama anaenda kinyume na taratibu za Chama hicho.

Pia amewataka wakuu wa Wilaya kuwachukulia hatua ,wanaoenda kinyume bila kujali itikadi za Chama.

Katika hatua nyingine RC Kunenge Amesema mkoa na Wilaya umedhamiria kuleta mapinduzi katika Zao la Korosho.

"Tumedhamiria kuleta Mabadiliko katika Zao hilo la korosho ila peke yetu hatuwezi ni lazima tushirikiane katika hili."alifafanua.

Vilevile aliwataka Wanachama wa CORECU wasifanye makosa katika kuchagua viongozi wapya baada ya uongozi wa mpito kumaliza muda wake.

Alisema endapo Chama hicho kikipata viongozi waadillifu ,wasimamizi Wazuri na watakaotosha Basi kitafanya vizuri katika majukumu yake.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.