• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge awataka Wakandarasi wa ujenzi wa Barabara kutekeleza kazi kulingana na Mkataba unavyowataka ili kujijengea heshma kwa Serikali na Jamii.

Posted on: September 8th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amewataka wakandarasi walioingia mkataba wa ujenzi wa miradi ya barabara kutekeleza kazi hizo kulingana na makubaliano na masharti yanavyoagiza ilikujiwekea heshima kwa serikali na jamii kwa ujumla

"Niwaombe mmeomba kazi mmepata kazi fanyeni kazi kwa mujibu wa mikataba mliyoipata leo mkifanya kazi vizuri itawasaidia kupata kazi nyingine ujenzi uanze mara moja kama mikataba inavyoeleza.

Ameyasema hayo leo septemba 8, 2022 mara baada ya halfa ya kusaini mikataba 40 ya matengenezo ya barabra ya mwaka wa fedha 2022/2023 TARURA Mkoa wa Pwani yenye dhamani ya Shilingi bilioni 10.8,

Aidha  Meneja wa TARURA Mkoa wa Pwani leopold Lunji amesema fedha hizo zitakwenda kuongeza matengenezo ya barabara za lami kutoka kilometa 74 zilizopo hivi Sasa hadi kufikia kilometa 84, kufanya ukarabati kwa kiwango Cha changarawe kilometa 198, ujenzi wa makaravati 162 pamoja na ujenzi wa madaraja 8.

Mhe. Kunenge ametoa shukrani kwa uongozi wa awamu ya sita wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuupatia Mkoa wa Pwani fedha kwaajili ya miradi ya barabara na kuwahasa wakandarasi wawe waaminifu kulingana na mikataba hiyo.

Hafla hiyo ya utiaji saini imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu Mkoa waPwani huku ikishuhudiwa na  Mkuu  huyo wa Mkoa wa Pwani na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani zuwena Omary.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot thailand
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • toto slot
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77