• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge awataka Wakurugenzi kusimamia vizuri matumizi ya fedha ya Miradi ya maendeleo

Posted on: October 27th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakari Kunenge ,amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri  kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa mapato  na kusimamia vizuri  matumizi  ya fedha  ya miradi ya maendeleo.

Aidha amekiagiza  kitengo cha TEHAMA (IT) kubuni mifumo iliyo bora ya ukusanyaji wa mapato kwa pamoja ili kuweza kuzuia mianya ya ubadhilifu.

Rai hiyo ameitoa leo Oktoba 27 wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kilicho wahusisha viongozi wa Mkoa ambao ni Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya, Wenyeviti,Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Idara , Vitengo Sekretariet ya Mkoa pamoja na wakuu wa taasisi ya umma.

Amewataka watendaji wote kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ambayo mkoa umejiwekea.

Vilevile amewaasa viongozi wa mkoa  kuwasimamia ipasavyo wasaidizi wao pamoja na kushirikiana ili kuleta maendeleo ya Mkoa.

Kunenge amesema, matarajio yake makubwa kuona mkoa unafanya vizuri katika sekta zote pamoja na kutatua kero zinazowakabili wananchi.

Mkuu huyo wa Mkoa ,amewataka Wakuu wa Taasisi za Umma kuhakikisha wanatatua changamoto zote zinazowakabili wananchi hasa katika sekta  za Maji, Nishati ya umeme na barabara.








Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200