• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Ndikilo Aagiza kuundwa Bodi ya Mpito ya Chama Kikuu cha UIshirika Mkoani Pwani CORECU

Posted on: April 20th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist  Ndikilo ameagiza  kuundwa kwa Bodi ya Mpito ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Pwani CORECU kufatia kuzuka kwa Mgogora na baadhi ya wanachama hicho na kupelekea kutaka kujitoa.

Amefikia Uamuzi huo  Aprili, 20,2021 Wakati wa Mkutano Maalumu wa Chama Kikuu Cha Ushirika Pwani CORECU uliofanyika Katika Ukumbi wa Kibiti Sekondari Wilayani Kibiti.

Ndikilo alieleza  kuwa Chama hicho Kikuu CORECU kinalalamikiwa kwa kuchelewa kuanza Minada ya mazao ya Korosho kwa wakati, kuchelewa kusambaza Vifungashio Magunia, kuhusika katika kushuka kwa bei ya mazao, Uwepo wa Deni Sugu kwenye Mabenki linalolipwa na Vyama vya Msingi, kukosekana kwa Mahusiano mazuri katika Chama Kikuu na Vyama vya Msingi. Ameeleza kuwa sababu hizo zimepelekea vyama 28 vya Msingi kutoka Wilaya ya Kibiti na Rufiji kuwasilisha barua ya kutaka kujitoa kwenye Umoja huo,

Aidha amewambia wanachama hao kuwa kutaka kujitoa na kuunda Chama kipya ni Hiari yao, isipokuwa amewataka kujua faida na hasara  endapo wataamua kujitoa katika chama hicho.

“Kama nataka kujitoa katika chama hiki cha CORECU  mtapaswa kujihoji maswali Yafuatayo ikiwa pamoja na kujua  Muda utakaotumika katika Mchakato wa Kuunda Chama kipya cha Ushirika Rufiji na Kibiti (Je Chama kitakuwa tayari kabla kuanza Msimu wa Ufuta na Korosho Mwaka huu 2021? Na kama hakitakuwa tayari ni chama Gani kitasimamia mauzo ya mazao hayo”.Alisema Ndikilo

Aliongezea kusema kuwa Suala hili ni la Usalama wa Wakulima na Wananchi Wengi wa Mkoa wetu hivyo linapaswa kuangaliwa kwa makini.

Amemuelekeza Katibu Tawala Mkoa kusimamia kuundwa kwa Bodi hiyo ya Mpito. Ameelekeza wajumbe hao kupendekeza majina matatu kutoka kila Wilaya ili wafanyiwe upekuzi na Vyombo vya dola kama Wana sifa ya kuwepo kwenye Bodi hiyo itakayoongoza kwa Mwaka Mmoja.

Ameitaka Bodi hiyo kwenda kufanya kazi na kuja na Majawabu ya Maswali na Changamoto za Wanachama hao ili kuwe na utulivu. Ameitaka kwenda kufuatilia Changamoto na kero za CORECU na kuja na Mapendekezo.

Ndikilo Ameeleza kuwa wamealikwa kama Viongozi na Watendaji wa Serikali kwenye Mkutano huo ili kusiliza na kushauri kuhusu Agenda ya Vyama vya Msingi Wilayani Kibiti na Rufiji kutaka kujitoa katika Chama Kikuu cha Ushirika CORECU,

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77