• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Ndikilo aipongeza TASAF kwa kuweza kunusuru Kaya maskini

Posted on: February 13th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo, ameupongeza mfuko wa kusaidia jamii TASAF kwa kuweza kuwawezesha wananchi wa Mafia ambao waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu.

Hayo ameyasema mwanzoni mwa wiki hii wakati alipotembelea vikundi vya wanufaika wa TASAF kupitia mradi wa kunusuru kaya maskini katika Kijiji cha Changuruma kilichopo katika Wilaya ya Mafia.

Mhandisi Ndikilo alisema kuwa kupitia mradi huu familia nyingi zimeweza kujisimamia na kujikimu kimaisha, ambapo hapo awali zilikuwa haziwezi kuifanya kitu kutokana na hali ngumu za maisha walizokuwa nazo.

“TASAF imerudisha hadhi na heshima ya binadamu, kwani kupitia mradi huu kaya hizi zimeweza kusimama na kusema kwani apo awali familia hizi zilikuwa haziwezi kushiriki katika masuala ya kijamii kwa kuhofia kuchekwa na kudharauliwa”alisema mhandisi Ndikilo.

Pia alisema kuwa kaya maskini ambazo zilizobaki katika mpango huo wa awali  bila kuingizwa , zisuburi mpango wa pili zitaziingizwa kama zitakidhi vigezo.

Mhandisi Ndikilo amewataka wanufaika wote wa TASAF wawe na tabia ya kujiwekea akiba na kuweza kubuni miradi midogomidogo pindi mpango huu utakapokwisha waweze kujikimu kimaisha.

“ Rai yangu kwa wanufaika wote wa mardi huu wa TASAF kujifunza kujiwekea akiba ili hapo baadae .TASAF itakapoisha muweze kuanzisha miradi midogo midogo ambayo itawasaidia kujikimu kimaisha na sikutegemea  TASAF tu kwani itafika muda itaisha “alibainisha Mhandisi Ndikilo.

Nae Mnufaika mmoja wa TASAF bibi Rehema Mbwana amesema kuwa anaishukuru TASAF kupia mradi huu wa kunusuru kaya maskini kwa kuweza kumsaidia kwani mpaka sasa ameweza kuwasomesha wajukuu zake na kumiliki mifugo.

Katika hatua nyingine mhandisi Ndikilo ametoa jumla ya shilingi laki sita  kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Mkunga katika Zahanati ya Kijiji cha Changuruma.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77