• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Ndikilo Atoa Onyo kwa waliovamia maeneo ya Viwanja vya Michezo

Posted on: December 10th, 2019

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe.Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka watu wote waliovamia maeneo yakiwemo ya shule yaliyotengwa kwa ajili ya michezo wayaachie maeneo hayo mara moja ili waweze kuwapisha vijana kutumia maeneo hayo kwa  kuendeleza vipaji vyao vya michezo.

Aliyasema hayo  mjini Kibaha wakati wa bonanza la michezo kimkoa la kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 58 Uhuru ambapo bonanza hilo lilifanyika katika uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Tumbi.

Mhandisi Ndikilo alisema kuwa ili kukuza vipaji vya michezo lazima kuwe na viwanja vingi vya michezo lakini baadhi ya watu wamekuwa  wakiyavamia maeneo hayo na  kusababisha vijana kukosa sehemu za kufanyia michezo.

"Wale wote waliovamia viwanja vya michezo kwenye Mkoa wangu  waviachie ili vijana waweze kuendeleza vipaji sababu kama hakuna viwanja pamoja na vifaa vya michezo  ni ndoto kwa Vijana wetu  kuendeleza michezo", alisema Mhandisi  Ndikilo.

Pia alisema kuwa Halmashauri za mkoa huo zihakikishe zinaendeleza vipaji vya wanamichezo na kuhakikisha kuwa  watumishi wake wanashiriki michezo kwani ni sehemu ya kazi na kuboresha afya zao.

"Kuna changamoto ya fedha kwa ajili ya masuala ya michezo hivyo  Serikali inalifanyia kazi suala hilo ili kuona uboreshaji wa michezo unafanikiwa," alionhezea Mhandisi Ndikilo.

Aidha alisema wawekezaji ndani ya mkoa watenge maeneo kwa ajili ya viwanja vya michezo ili wafanyakazi wapate muda wa kufanya michezo.

"Michezo ni ajira hivyo ni vema wadau mbalimbali wakajitokeza kuwekeza kwenye michezo ili kuunga mkono jitihada za serikali kwani vijana wanaweza kujiajiri kupitia michezo," alisema Ndikilo.

Kwa upande wake Afisa michezo mkoa wa Pwani Grace Bureta alisema kuwa wameamua kusherehekea sikukuu hii kwa kufanya michezo mbalimbali.

Bureta alisema kuwa mazoezi ni sehemu ya kazi na watumishi nao wanashiriki michezo hivyo ni sehemu ya burudani na kufurahia siku ya Uhuru wa nchi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200