• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RCKunenge aongoza Mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi

Posted on: January 29th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo ameongoza Mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi uliofanyika katika ofisi zake.

Mkutano huo ulihudhuriwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Maimuna Tarishi, pamoja na Mjumbe wa Tume, Profesa Florens Luoga. Lengo kuu la mkutano lilikuwa kukusanya maoni, changamoto, kero, na mapendekezo kutoka kwa wadau mbalimbali ili kusaidia kuboresha mfumo na muundo wa kodi nchini.

Akizungumza katika mkutano huo, Mhe. Kunenge alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutambua umuhimu wa maboresho ya kodi na kuunda Tume hiyo. Alisema kuwa lengo ni kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji, wafanyabiashara, na wananchi kwa ujumla.

Niwaombe washiriki kutumia fursa hii kutoa maoni yatakayosaidia kuboresha mfumo wa kodi. Hii itatusaidia kufanya shughuli za kibiashara kwa urahisi zaidi,” alisema Mhe. Kunenge.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Tume, Balozi Maimuna Tarishi, aliipongeza Mkoa wa Pwani kwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa kodi ukilinganisha na mikoa mingine. Alisema kuwa mafanikio hayo ndiyo yaliyosukuma Tume kuja kujionea namna wadau wanavyoshiriki katika masuala ya kodi.

Mkoa wa Pwani unachangia pakubwa katika ulipaji wa kodi, hali iliyotufanya tuje kushiriki mkutano huu na kujifunza zaidi kutoka kwa wadau,” alisema Balozi Tarishi. Alisisitiza umuhimu wa kutoa mapendekezo yatakayochangia kukuza uchumi wa nchi.

Naye Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Pwani, Abdallah Ndauka, alishauri kuwepo kwa sera na sheria zitakazolinda mitaji ya wafanyabiashara na wawekezaji.

Washiriki mbalimbali wa mkutano huo walipendekeza kuimarishwa kwa elimu ya mlipakodi kwa wananchi. Aidha, walihimiza Serikali kuangalia uwezekano wa kuanzisha somo maalum la masuala ya kodi kuanzia shule za msingi ili kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200