• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Shule za Msingi zilizofanya Vibaya kwenye Matokeo ya Darasa la saba zichunguze :RC Ndikilo

Posted on: December 18th, 2020

MKuu wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri ya Rufiji,Mkuranga na Chalinze kuzifuatilia shule za msingi zilizofanya vibaya katika maeneo yao na kuhakikisha watapatia ufumbuzi changamoto zinazochangia kushuka kwake kitaaluma.

Aidha amezielekeza halmashauri, kumaliza kujenga miundombinu ya madarasa ifikapo january 28 mwakani 2021 ili kuhakikisha wanafunzi 7,850 watakaokosa nafasi madarasani awamu ya kwanza wanaweza kuendelea na masomo bila changamoto ya madarasa .

Akifungua kikao cha wadau wa elimu mkoani Pwani Desemba 17,2020,Ndikilo alisema haiwezekana kuona Serikali inaongeza jitihada za kuboresha mazingira ya elimu huku tukishuhudia shule zinafanya vibaya bila kujua changamoto na kuzitatua .

Alieleza kati ya shule kumi zilizofanya vibaya kimkoa 2020 ,Ni pamoja na Kitapi kata ya Mbwara wilaya ya Rufiji wastani wa alama 81,Kibesa ya Mkuranga wastani 78.88 na Pera ya Chalinze yenye wastani 78.8.

Ndikilo amewaelekeza pia,wadhibiti wa ubora wa shule kwenda kukagua shule hizo ili ziweze kuimarishwa na kuinua hali ya kitaaluma .

Hata hivyo alipongeza mkoa huo kupanda ufaulu wa matokeo ya shule ya msingi kutoka asilimia 85.13 mwaka 2019 na kufikia asilimia 86.99 mwaka 2020 na kuwa nafasi ya 9 kitaifa .

"Tujitahidi tuweze kupanda pia kimkoa tutoke kundi la kumi bora na tufikie tano ama tatu bora ,walimu wapo na serikali inaendeleza elimu bila malipo hivyo hakuna sababu ya kushika mkoa" alifafanua Ndikilo.

Aliomba wadau mbalimbali kujitokeza kushirikiana na serikali kuchangia masuala ya kielimu ili kumaliza changamoto zilizopo za madawati na upungufu wa madarasa.

Pamoja na hilo ,kaimu katibu tawala wa mkoa huo Abdulrahman Mdimu ,alieleza licha ya kupanda ufaulu lakini lipo suala la mdondoko bado ni changamoto kubwa ambapo wanafunzi 157 hawakumaliza shule na hawajulikani walipo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200