• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Sitaki kuona Hati chafu au yenye Mashaka Pwani-Samataba

Posted on: July 26th, 2018

Watumishi katika halmashauri za mkoa wa Pwani  wametakiwa kuacha kufanya siasa na  kufanya kazi kwa weledi zaidi huku wakifuata kanuni na sheria za Serikali katika utendaji wa kazi zao.

Rai hiyo imetolewa na Katibu tawala mkoa wa Pwani , Ndugu Zuberi samataba wakati akifunga kikao maalum cha kupitia  hoja   za mkaguzi wa hesabu za Serikali ( CAG) mwanzoni mwa wiki hii wilayani Mafia.

“Ningependa sisi watalaam tufanye kazi zetu za kitaalam  za kushauri kitalaam kulingana na taaluma zetu na kuandaa taarifa  mbalimbali za kazi na  siasa tuwaachie wenzetu wanasiasa ”alisema Samataba

Aidha ameipongeza Halmashauri ya ya Wilaya ya mafia kwa kuweza kupata hati safi na pia amesema amefarijika sana kuona  Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani zimepata hati safi.

Samataba amesema kuwa kupata hati safi si jambo dogo  hivyo amezitaka Halmashauri kuwa makini katika kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za Serikali na amesisitiza kwamba katika mkoa wake hataki kuona hati chafu. Au yenye mashaka.

Naye Mkaguzi  Mkuu wa Mkoa Pwani ndugu Eliudi Masombolwa  amesema kuwa ukaguzi umefanywa kwa viwango vya kimataifa,   lengo likiwa ni kuona kama kuna ubadhirifu umefanyika na sheria na kanuni za matumizi ya fedha za Serikali  zimezingatiwa.

 Aidha, alisema kupata hati safi hakuimanisha  kwamba hakuna shida katika matumizi ya fedha za Serikali kwa asilimia mia moja(100%)   isipokuwa  Halmashauri imefanikiwa kudhibiti  malengo mabaya yanayoweza kuathiri matumizi  mazuri ya fedha za Serikali.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777