• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

TADB yatoa Mkopo wa Shilingi Milioni Mia Nne themanini na lakimbili na elfu Hamsini 480,250,000 kwa wakulima CHAURU

Posted on: November 25th, 2020

Wakulima zaidi ya elfu 3000 wanaolima zao la mpunga katika bonde la mto Ruvu Halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani waliokuwa wanakabiliwa na changamoto kwa kipindi kirefu hatimaye wamepata mkombozi baada ya serikali Mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB) kuja na mpango wa kuwaondolea wimbi la umasikini kwa kuwawezesha kiuchimi.

Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evariost Ndikilo wakati wa halfa ya Makabidhiano ya mkopo matrekta mawili pamoja na pembejeo nyingine za za kilimo zenye thamani ya kiasi cha shilingi milioni 480 kwa kwa uongozi wa chama cha ushirika wa wakulima wa umwagiliaji wa ruvu (CHAURU) ambayo imetolewa na benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB).

“Mimi kama Mkuu wa Mkoa wa Pwani lengo letu kubwa kama serikali lazima tujitahidi kw ahali na mali kwa kushirikiana na wadau wengine wa maendeleo katika kuhakikisha kwamba wakulima wetu wanawezeshwa kiuchumi na kupatiwa mikopo ya bei nafuu lengo ikiwa ni kuweza kujikwamua kiuchumi na kuondokana na wimbi la umasikini,”alisema Ndikilo.

Ndikilo  alisisitiza  kuwa katika kufanikisha azma ya mradi huo mkubwa wa bonde la mto ruvu ataendelea kuwapa ushirikiano wa kutosha wakulima wote wa mazao mbali mbali ikiwemo mpunga na kuwahimiza wadau wengine wa sekta ya kilimo kuweza kuunga juhudi za serikali katika kuwasaidia wakulima waweze kutimiza malengo waliyojiwekea,

Naye kwa upande wake  Mkurugenzi wa fedha wa benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB) Delick Lugemala ambaye ambaye alimwakilisha mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo amesema kwamba lengo lao kubwa ni kuwakomboa wakulima kwa kuwapatia mikopo kwa bei nafuu na kwamba katika Mkoa mzima wa Pwani hadi sasa wameshatoa kiais cha shilingi zaidi ya bilioni 20.

AidhaMkurugenzi huyo alisema kwamba lengo lao kubwa ni kuendelea kushirikiana na wakulima wa mazo mbali mbali katika kuwasapoti mitaji mbali mbali ya fedha ambayo watakuwa wanaipata kwa liba nafuu lengo ni kuwapatia fursa mbali mbali z akilimo amabzo zitawasaidia katika kujipatia kipato na kujikwamua kiuchumi hivyo benki itaendelea kuwasaidia kwa hali na mali.

 Mwenyekiti wa bodi ya chama cha ushirika wa wakulima wa umwagilianji Ruvu (CHAURU) Sadala Chacha amebainisha pembejeo hizo walizozipata na benki ya TADB ikiwemo matreka mawili yataweza kuwaondolea changamoto kubwa za upatikanaji wa zana za kilimo na kuwaondolea hali ya usumbufu waliokuwa wanaupata.

“Kwa kweli Mkuu wa Mkoa tunapenda sana kushukuru msaada huu ambao tumepatiwa kwani hapo awali tulikuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa pembejeo za kilimo hivyo kupelekea baadhi ya wananchama wetu kushindwa kutekeleza majukumu yao ipsasavyo kwa hiyo hii fursa tuliyoipata kwetu ni mkombozi mkubwa kutoka benki ya TADB,”alisema Mwenyekitu huyo.

Pia  aliongeza kuwa kutokana na mkopo huo walioupata kutoka benki ya TADB wanachama wake wataweza kupata fursa mbali mbali za kuwezeshwa kupata pembejeo za kilimo kwa wakati na bila ya kuwategemea baadhi ya walanguzi ambao wamekuwa wakiuziwa mchele huo kwa bei ambayo sio rafiki.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200