• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Waziri Mkuu Majiliwa aweka jiwe la Msingi kiwanda cha kampuni ya Lodhia Group.

Posted on: November 29th, 2022

Mhe Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani leo November 29 2022 ameshiriki na Mhe Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Hafla ya Ukaguzi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Kiwanda cha Kampuni Lodhia Group kilichopo Kisemvule Mkuranga.

Mhe Majaliwa ameweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha kuzalisha Mabati.

 Aidha amempongeza  Mwenyekiti wa Makampuni ya Lodhia Group Bw Haruni Lodhia kwa kuwa Mwekezaji Mkubwa na Mlipa Kodi Mkubwa na amemhakishia Serikali itaendelea kumuwezesha ili kwa kuweka Mazingira Bora ili awekeze zaidi.

Ameeleza faida za Kiwanda hicho ni Ajira zaidi ya 2500 zilizopo hapo, Ujuzi kwa Vijana na urahisi wa Upatikanaji wa Bidhaa za Ujenzi Nchini.

Mhe Waziri Mkuu amesisitiza kuendelea kutoa kipaumbele upanuzi wa Barabara kutoka Mbagala hadi Mkuranga ili kuwezesha usafiri wa haraka na uhakika wa Bidhaa na watu kutokea Dar es hadi Mkuranga.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Ashiriki Kupiga Kura , Awataka Wananchi wa Pwani kuendelea kujitokeza kwa wingi

    October 29, 2025
  • Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

    October 28, 2025
  • Vituo 3,941 vya kupiga kura vyaandaliwa Mkoani Pwani Kuelekea Uchaguzi mkuu

    October 27, 2025
  • RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

    October 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • KOI200
  • KOI200
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200