Posted on: May 1st, 2022
Jumla ya nyumba 515,668 zimeingizwa kwenye mfumo wa Zoezi la anwani za makazi sawa na asilimia 105.61 Mkoani Pwani.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge alipotoa taarifa ya Mkoa...
Posted on: April 26th, 2022
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mkoa wa Pwani umetoa misaada ya vitu mbalimbali na vyakula katika vituo vya kulelea watoto Cha Moyo Mmoja na kituo Cha Passion Kamelot...
Posted on: April 25th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhe Abubakar Kunengeleo April 25, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Ilse Boshoff Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika Mashariki na Tanzania wa Kiwanda cha kuzalisha Gypsum board. ...