Posted on: September 8th, 2024
Hospitali ya Aga Khan imetoa msaada wa vifaa tiba vya kuzuia ugonjwa wa Mpox, unaojulikana pia kama homa ya nyani, kwa Wilaya ya Rufiji mwishoni mwa wiki. Msaada huo una thamani ya zaidi ya shilingi m...
Posted on: September 7th, 2024
Shirika lisilo la kiserikali la Doris Mollel Foundation limetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 30 kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) na wenye uzito pungufu ...
Posted on: September 6th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amezindua Kliniki ya Ardhi katika Kata ya Vikindu, wilayani Mkuranga.
Kliniki hiyo ambayo imezinduliwa Sept 6 lengo lake ni kusaidia wananchi wa wilaya hiyo...