Posted on: June 7th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo Leo Juni 5 2020 amefikia uamuzi wa Kumtaka Katibu Tawala Mkoa wa Pwani kumpangia kituo kipya cha kazi Bw Jonas Nambua Afisa Misitu Halmshauri ya Rufiji.
...
Posted on: June 3rd, 2020
Hayo yamesemwa leo Juni 3 2020 na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa Kikao Maalumu cha Baraza la Madiwani Mkuranga cha kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seri...
Posted on: June 1st, 2020
Serikali Mkoani Pwani imeeleza kuwa itayafutia umiliki mashamba makubwa ambayo hayajaendelezwa na kuyagawa kwa wakulima wanaolima zao la mkonge ili kufufua zao hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa...