Posted on: September 19th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewaasa wananchi wa mkoa huo kuhakikisha kuwa wanashiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwenye...
Posted on: September 4th, 2019
Mkoa wa Pwani umesaini makubaliano ya pamoja na Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard Newspapers (TSN) kuratibu na kusimamia maonesho ya Viwanda na Biashara yaliyopangwa kuanza Oktoba 1 h...
Posted on: August 28th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist ndikilo amehitimisha ziara yake ya Awamu ya Kwanza ya uwekaji mawe ya msingi kwenye viwanda tarehe 27 Agosti 2019.
Akiwa kwenye ziara yake hiyo Mhandisi...