Posted on: May 20th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo amezipongeza Halmashauri zote za Mkoa huo kwa kupata hati safi kwa mwaka 2017/2018.
Akifungua mafunzo ya siku moja ya kuzijengea uwezo Kamati za ...
Posted on: April 11th, 2019
Kamati ya Amani ya Mkoa wa Pwani imetembelea eneo la Mradi wa Umeme wa mto Rufiji na kufanya maombi maalum ili utekelezaji wake ukamilike kwa ufanisi na kwa wakati uliopangwa.
Kamati hiyo yenye waj...
Posted on: March 21st, 2019
Mkoa wa Pwani umepanga kutumia kiasi cha shilingi Bilioni 178,024.699 zikiwa ni sh. Bilioni 32.36 za matengenezo na sh. Bilioni 145.662 za maendeleo ili kuboresha miundombinu ya barabara katika mwaka ...