Posted on: September 9th, 2025
Mkoa wa Pwani umejipanga kuimarisha mapambano dhidi ya malaria kwa kusambaza vyandarua milioni 1.2 vyenye thamani ya shilingi bilioni 24.
Hatua hiyo inalenga kufikia kaya 454,593 zenye zaidi ya wan...
Posted on: September 7th, 2025
Timu ya michezo ya watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani imeshiriki katika uzinduzi wa Mashindano ya 39 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyofanyika leo, ...
Posted on: September 6th, 2025
Mkoa wa Pwani umeongeza kivutio kipya cha utalii na uwekezaji baada ya kuzinduliwa rasmi kwa hoteli ya kisasa ya The Mayborn iliyopo Mtaa wa Lulanzi, Kata ya Picha ya Ndege katika Manispaa ya Kibaha.
...