Posted on: May 23rd, 2018
“Mkandarasi atakaesaini mkataba hapa mtuachie sisi serikali ya Mkoa kumfatilia, tunakuahidi tutamfatilia usiku na mchana na yeye afanye kazi zake usiku na mchana kulingana na mkataba unavyosema ...
Posted on: May 20th, 2018
Timu ya soka ya Mgomba ya wilayani Rufiji imetwaa ubingwa wa Siro Super Cup 2018 kwa kuifunga Mjawa ya wilaya ya Kibiti kwa penati 11-10.
Mchezo huo ulichezwa mwishoni mwa wiki hii katika uwanja wa...
Posted on: May 18th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka wafanyabiashara wote Mkoani Pwani kuacha mara moja tabia ya kuficha bidhaa ili zionekane adimu na waweze kupandisha bei kwa manufaa yao bi...