Posted on: August 7th, 2025
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Peter Billa, leo amepokea ugeni kutoka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya RUWASA Taifa, Mhandisi Ruth S....
Posted on: August 7th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, ametoa wito kwa wakulima wa maeneo ya mijini kutumia teknolojia ya kisasa katika kilimo na ufugaji ili kuongeza uzalishaji na kipato chao.
Wito huo ameu...
Posted on: August 4th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ally, leo Agosti 4, 2025, ametembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mafia katika Maonesho ya Nanenane ya Kanda ya Mashariki yanayofanyika Morogoro, am...