Posted on: November 29th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge ameiagiza idara ya elimu mkoa kusimamia kikamilifu Shule Maalum ya Sekondari ya wasichana wenye vipaji ya Bibi Titi Mohammed iliyopo Utete Rufiji ili iwe mfano ...
Posted on: November 23rd, 2023
Mkuu wa mkoa Pwani Abubakar Kunenge amewakabidhi Vishkwambi 345 Maofisa Kilimo wa Wilaya za Mkoa huo na kuwataka watumie vifaa kzi hivyo kusidia wakulima uleta tija na kuongeza mnyororo wa thamani.
...
Posted on: November 22nd, 2023
Katibu Tawala mkoa wa Pwani, ambaye pia ni Skauti Mkuu wa Tanzania Rashid Mchata, amewataka watumishi wa umma kutambua mahitaji halisi na kero zinazowakabili wananchi na kuzitafutia majibu ili kukabil...