Posted on: November 5th, 2023
Wakuu wa Mikoa ya Pwani, Dar es Salaam na Morogoro wamefanya ziara ya pamoja kukagua chanzo cha maji cha mto Ruvu kufuatia uwepo wa Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
...
Posted on: November 4th, 2023
Zaidi ya sh milioni 900, zimetafunwa na watu wanaodaiwa kuwa ni madalali na baadhi ya viongozi wa vitongoji wakati wa mauziano ya viwanja vya eneo la serikali la Mitamba shamba namba 34 lililopo Kata ...
Posted on: November 3rd, 2023
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema katika kipindi cha miaka mitatu mkoa huo umepokea kiasi cha sh. Trilion 1.19 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Amesema fedh...