Posted on: October 12th, 2023
Kiasi cha sh. Bilioni 15 kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo iliyo chini ya Wakala wa Barabara nchini -TANROADS katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Meneja wa Wakala wa Barabara ...
Posted on: October 12th, 2023
Serikali imeahidi kuzipatia fidia halmashauri zote za mkoa wa Pwani ambazo zinatoa malighafi yake kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa SGR unaondelea.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abu...
Posted on: October 13th, 2023
Serikali imesema ifikapo mwishoni mwa Mwezi Novemba Mwaka huu Ujenzi wa Mtambo wa kupoza Umeme katika Ktuo cha Chalinze utakuwa umekamilika na hivyo kuondoa kabisa chamgamoto ya Umeme nchini.
Hayo ...