Posted on: September 5th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mheshimiwa Abubakari Kunenge, amehimiza ushirikiano miongoni mwa viongozi wa mkoa huo ili kurahisisha utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Kunenge alitoa...
Posted on: September 4th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi Cha Ruvu kwa juhudi za kuchangia maendeleo ya sekta ya uchumi.
Kunenge ametoa pongezi hizo Sept.04 aliposhi...
Posted on: September 2nd, 2024
Halmashauri katika Mkoa wa Pwani zimetakiwa kuhakikisha kuwa fedha zinazotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe zinatumika kama zilivyopangwa. Aidha, zimetakiwa kutenga fedha kwa ajili y...