Posted on: April 24th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge leo April 24, 2023 amefungua Kongamano la Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo limefanyika Ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwl Nye...
Posted on: April 19th, 2023
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Suleiman Jafo ameupongeza Mkoa wa Pwani kwa kuweka kampeni ya upandaji miti ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira.
Jafo aliyasema ha...
Posted on: April 18th, 2023
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali Mkoani Pwani zimesababisha kumomonyoka kwa kingo za kalavati na barabara ya Kimange-Chalinze upande wa kutokea Dar es salaam.
Kutokana na athari...