Posted on: February 1st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameziasa taasisi zinazosimamia sheria kutoingiza baadhi ya mashauri kwenye taratibu za usuluhishi akitaja mfano wa zinazohusu kuwapa mimba Wanafunzi.
Mhe...
Posted on: January 31st, 2023
Mkuuwa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge ameanza kutekeleza mapendekezo na msimamo wa Serikali juu ya utatuzi wa migogoro ya ardhi iliyokithiri katika kata ya Mapinga Wilayani Bagamoyo.
Akizung...
Posted on: January 30th, 2023
MKuu wa mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge amewaasa wakuu wa wilaya mkoani humo kutokuwa chanzo cha kukwamisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bali wakawatumikie na kuwahudumia wananchi....