Posted on: July 27th, 2022
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amewataka Makarani wa Sensa kuzingatia kanuni sheria na taratibu ili zoezi hilo lifikie malengo ya kupata takwimu sahihi.
Kunenge alitoa agizo hilo alipokuwa...
Posted on: July 26th, 2022
Mhe Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani Amefanya ziara ya Ukaguzi wa Miradi ya Umeme kuangalia uzalishaji na Upatikanaji wa Nishati ya Umeme kwa Mkoa wa Pwani.
Kunenge ametembelea na kukag...
Posted on: July 25th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameridhishwa na maandalizi ya timu ya UMITASHUMTA Mkoani humo kushiriki katika michezo hiyo kitaifa inayotarajiwa kufanyika Mkoani Tabora kuanzia Julai 30 h...